VIONGOZI WA PAROKIA

VIONGOZI WA PAROKIA

Saturday, 14 March 2015

VIJANA KATIKA MATENDO YA HURUMA WAMEMTEMBELEA BIBI YAKE YULIA MLOWE

Vijana wa parokia ya Msewe wakiongozwa na mwenyekiti wa parokia Fransi Haule na mwenyekiti wa kigango cha Msewe baada yakutoka kwenye hija BOKO walienda mpaka nyumbami kwa bibi Yulia Mlowe kumpa pole bibi yake mpenzi aliefanyiwa operesheni wiki chache zilizo pita.
Kutembelea wagonjwa ni moja ya utume muhimu wa vijana wa parokia ya Ubungu Msewe Mungu awabariki wote walio fika kumpa pole bibi Yulia Mlowe..
MAPENDOOO......
Picha na #deomkawe

2 comments:

  1. Nilikua kwenye ibada ya neo ndomana sikushiriki ila tupo pamoja.

    ReplyDelete
  2. Inapendeza sana kuona vijana mnajari watu wa lika zote endeleeni hivyo!

    ReplyDelete