VIONGOZI WA PAROKIA

VIONGOZI WA PAROKIA

Saturday, 7 March 2015

NOELI YA VIJANA MWAKA2014 PAROKIANI

























Hivi ndivyo mambo yalivyokua katika sherehe ya NOELI ya vijana mwaka2014 iliyo fanyika katika ukumbi wa ALAMANO parokiani UBUNGO MSEWE.
Kikundi cha burudani kili tumbuiza kama kawaida na mziki bora kabisa wa vijana ulitumika vyema kabisa kuwa buruisha vijana katika sherehe yao mambo ya likua mazuri na walipata baraka nyingi sana vija wote wa parokiani.

2 comments:

  1. helloh viwawa! habari za uzima!

    ReplyDelete
  2. Nawakaribisha sana tuweze kujadili na kupashana taarifa/habari muhimu zinahusu utume,ujana,na maisha yetu kwa ujumla katika mitazamo yakinifu kadri Mungu alivyotujalia akili,nguvu na utashi.....MAPENDOOOOOO!!!

    ReplyDelete