Kheri ya kuzaliwa TIAGO... mmisionari Tiago mwenye hasili ya Ureno Anaye fanya kazi Tanzania parokia ya ubungo-msewe..
Tarehe 31/05 alikata keki pamoja Na viwawa Wa ubungo msewe kwa ishara ya Upendo wake Na viwawa katika parokia hii... hongera Tiago kwa siku ya kuazaliwa
No comments:
Post a Comment