VIONGOZI WA PAROKIA

VIONGOZI WA PAROKIA

Tuesday, 5 April 2016

PICHA : TAZAMA PICHA TANO ZA MAANDALIZI YA SHEREHE YA VIJANA SIKU YA JUMAPILI 10 .04 . 2016 ALLAMANO HALL

siku ya tarehe 10 mwezi huu wa 04 ndani ya allamano hall-ubungo msewe patakuwa apatoshi..

hizo ni baadhi ya picha viwawa wakijiandaa kwa ajili ya kutumbuiza siku ya tarehe 10 mwezi wa 04.

unakosaje kwa mfano?? kwa shilingi 5000tsh njoo ujionee mambo kemkem.. tujuane.. tuongee..

kwa mawasiliano: 0653979715

KARIBU UBUNGO PARISH

2 comments: