Misa iliongozwa na Askofu Thithusi Mdowe (Askofu wa Jimbo la Mtwara) akisaidiwa na mapadri wa jirani wa parokia hizo... Pia Askofu Thithusi Mdowe alitumia muda huo kwa kuwaaga vijana(viwawa) wake... (tunaomba radhi kwa kushindwa kupiga picha juu ya Ibada hii yote nikuwa nje ya uwezo wetu)